Nenda kwa yaliyomo

adibu

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili

[hariri]

Kitenzi (kt <ele>)

[hariri]

adibu (adibu)

  1. elimisha mtu tabia njema; tia mtu adabu
  2. adibu kv -enye adabu, -enye tabia nzuri, -wa na adabu /Kar/


Tafsiri

[hariri]
Ingizo hili ni sehemu ya mradi wa Kuboresha Wikipedia na Wikamusi ya Kiswahili. Unaweza kusaidia kuihariri na kuongeza maana.