Ziwa Naivasha
Mandhari
| |
Nchi zinazopakana | Kenya |
Eneo la maji | km² 139 |
Kina cha chini | m 6 |
Mito inayoingia | mto Gilgil, mto Malewa |
Kimo cha uso wa maji juu ya UB |
m 1884 |
Miji mikubwa ufukoni | Naivasha |
Ziwa Naivasha ni moja ya maziwa makubwa nchini Kenya (Kaunti ya Nakuru).
Ndani yake vinapatikana visiwa vifuatavyo:
- Kisiwa cha Hilali (kaunti ya Nakuru)
- Kisiwa cha Mbuzi (kaunti ya Nakuru)
- Kisiwa cha Lotus (kaunti ya Nakuru)
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Ziwa Naivasha Ilihifadhiwa 13 Septemba 2017 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Ziwa Naivasha kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |