William Edward Burghardt Du Bois
Mandhari
William Edward Burghardt Du Bois (Great Barrington, Massachusetts, 23 Februari 1868 - Accra, Ghana, 27 Agosti 1963) alikuwa mwanahistoria, mtaalamu wa elimu jamii na mpigania wa haki za kibinadamu kutoka nchini Marekani.
Alipigania hasa haki za watu wenye asili ya Afrika.
Anakumbukwa kama mmoja kati ya mababa wa harakati ya Muungano wa Afrika.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Maisha yake
- Maisha ya Du Bois na Gerald C. Hynes Ilihifadhiwa 10 Mei 2019 kwenye Wayback Machine.