Nenda kwa yaliyomo

Uwanja wa Michezo wa Chichibunomiya Rugby

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Uwanja wa Michezo wa Chichibunomiya Rugby

Uwanja wa Michezo wa Chichibunomiya Rugby ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Japani. Ambao ulizinduliwa mnamo mwaka 1947 kwenye mji wa Minato, Tokyo nchini Japani. Uwanja huu hutumiwa na timu ya NTT Communications Shining Arcs na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 24,871.[1]

  1. "Viwanja Vya mpira nchini Japani". www.stadiumdb.com.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Chichibunomiya Rugby kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.