Nenda kwa yaliyomo

Skeli

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Skeli (kutoka Kiingereza: scale) kwenye ramani ni kipimo kinachoonyesha uwiano wa umbali kwenye ramani kwa umbali halisi duniani.

Uwiano huu hutajwa kwa kawaida kwa kuandika "1 : (kiwango cha skeli)".

Mifano ya matumizi ya skeli za kawaida
Skeli Umbali wa ramani Umbali halisi Matumizi
00.001:1.000 sentimita 1 0m 10 Ramani ya jengo au kiwanja
00.001:10.000 0m 100 Ramani ya mji
00.01:50.000 0m 500 Ramani ya utalii wa kieneo
00.1:100.000 00km 1 Atlasi ya dereva wa gari
00.1:200.000 00km 2 Ramani ya kijeshi (Urusi)
00.1:500.000 00km 5 Ramani ya kijeshi
01:1.000.000 00km 10 Ramani ya mikoa, majimbo
01:2.500.000 00km 25 Ramani ya nchi
1:80.000.000 00km 800 Ramani ya Dunia yote