Ontolojia
Mandhari
Ontolojia (kutoka maneno ya Kigiriki ὄν, ὄντος, òn, òntos na λόγος, lògos elimu) ni somo la kifalsafa la asili ya kuwepo, na pia kategoria za msingi za kuwepo na uhusiano wao. Maana rahisi sana ya ontolojia ni: uchunguzi wa neno ‘kitu’. Ni tawi kubwa la metafizikia.
Ontolojia inachunguza maswali kuhusu: ni vitu gani vipo kwa uwepo ama vile vinavyodhaniwa kuwa na jinsi vitu hivyo vinavyoweza kujumuishwa kwa vikundi, kuhusishwa na kuorodheshwa kwa ngazi ya uzao na kugawanyishwa kulingana na usawa na tofauti zao.
Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ontolojia kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |