Mily Balakirev
Mandhari
Mily Alexanyevich Balakirev (alizaliwa mjini Nizhny-Novgorod tarehe 2 Januari 1837 - akafariki St. Petersburg tarehe 29 Mei 1910) alikuwa mtunzi kutoka nchini Urusi aliye maarufu kwa Opera. Mara nyingi alikuwa akitunga nyimbo kwa ajili ya orchestra, kwaya na piano na nyimbo pekee. Vilevile anasifika kwa kutunga nyimbo nyingi zenye kusifia utaifa wa Urusi.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- www.kreusch-sheet-music.net - Free Scores by Balakirev
- Islamey Article Ilihifadhiwa 4 Julai 2006 kwenye Wayback Machine.
- Mily Balakirev ame orodheshwa katika International Music Score Library Project
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani wa Ulaya bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mily Balakirev kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |