Mhanga
Mandhari
Mhanga | ||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Mhanga
| ||||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||
| ||||||||||||||||
Uenezi wa mhanga
|
Mhanga (pia muhanga, fundi-mchanga, kiharara, kukukifuku au loma; jina la kisayansi: Orycteropus afer) ni mnyama wa Afrika aliye spishi pekee ya oda Tubulidentata ambayo inaishi hadi sasa.
Wanatokea pande nyingi za Afrika kusini kwa Sahara. Wahanga hula sisimizi na mchwa.
Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mhanga kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |