Nenda kwa yaliyomo

Mgana Izumbe Msindai

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mgana Izumbe Msindai (amezaliwa 28 Novemba, 1948) ni mbunge wa jimbo la Iramba Mashariki katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. "Mengi kuhusu Mgana Izumbe Msindai". 25 Aprili 2006. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-18. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.