Nenda kwa yaliyomo

Merry Christmas (Mariah Carey album)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Merry Christmas
Merry Christmas Cover
{{{Type}}} ya Mariah Carey
Aina Pop, R&B, Christmas music
Urefu 42:17
Lebo Columbia
CK-64222
Wendo wa albamu za Mariah Carey
Music Box
(1993)
Merry Christmas
(1994)
Daydream
(1995)


Merry Christmas ni albamnu ya sikukuu iliyoimbwa na mwanamuziki wa nchini Marekani, anayejulikana kwa jina la Mariah Carey. Ilitolewa nchini Marekani terehe 1 Novemba 1994, chini ya studio za Columbia Records. Ni albamu ya siku za sikukuu ambayo inajumuisha nyimbo mbalimabli kutoka katika albamu zake zilizopita lakini pia kuna nyimbo kadhaa ambazo ndio zimatoka kwa mara ya kwanza.

Albamu hii ilitolewa katikati ya mafanikio ya Mariah, yaani kati ya albamu ya Music Box (album) mwaka (1993) na Daydream (1995). [1] It was certified 5x platinum by the RIAA for shipments of over 5 million copies in the U.S.[2] This album was re-released in 2005 in DualDisc format with bonus tracks and music videos. Merry Christmas has sold 12 million copies worldwide.[3]

Mapokezi

[hariri | hariri chanzo]

Merry Christmas iliingia katikaa chati ya Marekani ya Billboard 200 na kufikia katika nafasi ya 30, hii ikienda sawa na kuuza nakala 45,000 katika wiki yake ya kwanza. Ilifika katika nafasi ya 3 katika wiki yake ya tano huku ikiweza kuuza nakala zaidi 208,000, lakini katika wiki yake ya sita, ndio iliyokuwa wiki yake ya mafanikio zaidi kwa kuweza kuuza nakala zaidi 500,000. Ilikaa katika nyimbo ishirini bora kwa kwa takribani wiki nane na pia ilikaa katika chati ya Billboard 200, kwa kipindi cha wiki kumi na tatu

Orodha ya Nyimbo

[hariri | hariri chanzo]
  1. "Silent Night" (Fr. Josef Mohr, Franz X. Gruber) – 3:41
  2. "All I Want for Christmas Is You" (Mariah Carey, Walter Afanasieff) – 4:01
  3. "O Holy Night" (Adolphe Adam) – 4:27
  4. "Christmas (Baby Please Come Home)" (Jeff Barry, Ellie Greenwich, Phil Spector) – 2:35
  5. "Miss You Most (At Christmas Time)" (Carey, Afanasieff) – 4:32
  6. "Joy to the World" (George Frideric Handel, Lowell Mason, Isaac Watts, Hoyt Axton)
  7. "Jesus Born on This Day" (Carey, Afanasieff)
  8. "Santa Claus Is Comin' to Town" (John Frederick Coots, Haven Gillespie) – 3:24
  9. "Hark! The Herald Angels Sing/Gloria in Excelsis Deo" (Charles Wesley, Felix Mendelssohn) – 3:01
  10. "Jesus Oh What a Wonderful Child" (Traditional) – 4:26
  11. "God Rest Ye Merry, Gentlemen" (Traditional) – 1:18 (non-U.S. bonus track)

Nyimbo Alizoshirikiana

[hariri | hariri chanzo]

CD

  1. "Silent Night"
  2. "All I Want for Christmas Is You"
  3. "O Holy Night"
  4. "Christmas (Baby Please Come Home)"
  5. "Miss You Most (At Christmas Time)"
  6. "Joy to the World"
  7. "Jesus Born on This Day"
  8. "Santa Claus Is Comin' to Town"
  9. "Hark! The Herald Angels Sing/Gloria in Excelsis Deo"
  10. "Jesus Oh What a Wonderful Child"
  11. "God Rest Ye Merry, Gentlemen"
  12. "Santa Claus Is Comin' to Town" (anniversary mix)

DVD

  1. "Santa Claus Is Comin' to Town" (anniversary mix)
  2. "All I Want for Christmas Is You"
  3. "Miss You Most (At Christmas Time)"
  4. "All I Want for Christmas Is You" (So So Def remix featuring Bow Wow and Jermaine Dupri)
  5. "Joy to the World" (celebration mix)
  6. "O Holy Night 2000"
  7. "All I Want for Christmas Is You" (black and white version)
  8. "Joy to the World" (live at St. John the Divine)

Chati na Tuzo

[hariri | hariri chanzo]

Chati Ilipata
nafasi
Australian Albums Chart[4] 2
Austrian Albums Chart[5] 4
Canadian Albums Chart[6] 21
Dutch Albums Chart[7] 4
European Albums Chart[8] 9
Finnish Albums Chart[9] 31
French Albums Chart[10] 21
German Albums Chart[11]
Hungarian Albums Chart[12] 15
Italian Albums Chart[13] 2
Japanese Albums Chart[14] 1
New Zealand Albums Chart[15] 10
Norwegian Albums Chart[16] 11
Polish Albums Chart[17] 6
Singapore Albums Chart[18] 1
South Korean Albums Chart[19] 1
Spanish Albums Chart[20] 26
Swedish Albums Chart[21] 4
Swiss Albums Chart[22] 4
UK Albums Chart[23] 32
U.S. Billboard 200[24] 3

Country (Provider) Certification
(sales thresholds)
Australia (ARIA) 4x Platinum[25]
Austria (IFPI) Gold[26]
Canada (CRIA) Platinum[27]
Europe (IFPI) Platinum[28]
France (SNEP) Gold[29]
Germany (IFPI) Gold[30]
Italy (FIMI) 2x Platinum[31]
Japan (RIAJ) 2x Million[32]
New Zealand (RIANZ) 2x Platinum[33]
Norway (IFPI) Gold[34]
Poland (ZPAV) Gold[35]
Singapore (RIAS) 4x Platinum[36]
South Korea (IFPI) 6x Platinum[37]
Spain (PROMUSICAE) Gold[38]
Switzerland (IFPI) Gold[39]
United Kingdom (BPI) Gold[40]
United States (RIAA) 5x Multi-Platinum[41]


  • Most certifications are from old criterion (Sales may be higher than the certification level says now).
  1. "Mariah's new remix Premiere at AOL's PopEater". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2010-01-23. Iliwekwa mnamo 2010-05-03.
  2. RIAA - Gold & Platinum
  3. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-03-10. Iliwekwa mnamo 2010-05-03.
  4. Australian Albums Chart
  5. Austrian Albums Chart
  6. Canadian Albums Chart
  7. Dutch Albums Chart
  8. "European Albums Chart". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-13. Iliwekwa mnamo 2010-05-03.
  9. "Finnish Albums Chart". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-09-03. Iliwekwa mnamo 2010-05-03.
  10. French Albums Chart
  11. "German Albums Chart". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-03-16. Iliwekwa mnamo 2010-05-03.
  12. "Hungarian Albums Chart". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-12-08. Iliwekwa mnamo 2010-05-03.
  13. "Italian Albums Chart". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-05-06. Iliwekwa mnamo 2010-05-03.
  14. Oricon Albums Chart
  15. "New Zealand Albums Chart". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-06-21. Iliwekwa mnamo 2010-05-03.
  16. "Norwegian Albums Chart". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-07-22. Iliwekwa mnamo 2010-05-03.
  17. "Norwegian Albums Chart". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-07-22. Iliwekwa mnamo 2010-05-03.
  18. "Norwegian Albums Chart". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-07-22. Iliwekwa mnamo 2010-05-03.
  19. "Norwegian Albums Chart". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-07-22. Iliwekwa mnamo 2010-05-03.
  20. Spanish Albums Chart
  21. Swedish Albums Chart
  22. Swiss Albums Chart
  23. UK Albums Chart
  24. "U.S. Albums Chart". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2010-05-04. Iliwekwa mnamo 2010-05-03.
  25. ARIA
  26. IFPI Austria
  27. "CRIA". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-01-11. Iliwekwa mnamo 2010-05-03.
  28. "IFPI". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-03-14. Iliwekwa mnamo 2010-05-03.
  29. French Albums Chart
  30. IFPI Germany
  31. FIMI
  32. RIAJ
  33. "RIANZ". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-03-14. Iliwekwa mnamo 2010-05-03.
  34. "IFPI Norway". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2010-01-18. Iliwekwa mnamo 2010-05-03.
  35. http://www.mariahjournal.com/infozone/charts/albums/poland/index.shtml
  36. http://www.mariahjournal.com/infozone/charts/albums/singapore/index.shtml
  37. http://www.mariahjournal.com/infozone/charts/albums/southkorea/index.shtml
  38. PROMUSICAE
  39. IFPI Switzerland
  40. http://www.bpi.co.uk/certifiedawards/search.aspx Ilihifadhiwa 6 Oktoba 2017 kwenye Wayback Machine.]
  41. http://www.riaa.com/goldandplatinumdata.php?table=SEARCH