Majadiliano:Pembe ya Afrika
Mandhari
Jina
[hariri chanzo]Kipala salaam. Una uhakika kuwa jina Pembe la Afrika ni sahihi? Matokeo mengi ya utafutaji kwenye Google hutumia Pembe ya Afrika. Hata TUKI inasema kwamba pembe ni ngeli ya n-. Wako mwaminifu. ChriKo (majadiliano) 20:23, 5 Oktoba 2020 (UTC)
- Kweli kabisa. --Riccardo Riccioni (majadiliano) 12:17, 6 Oktoba 2020 (UTC)