Nenda kwa yaliyomo

Kimwerlap

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kimwerlap (au Kimerlav) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Vanuatu inayozungumzwa na Wamwerlap kwenye visiwa vya Mere Lava na Merig. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kimwerlap imehesabiwa kuwa watu 1350. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimwerlap iko katika kundi la Kioseaniki.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimwerlap kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.