Kicham-Magharibi
Mandhari
Kicham-Magharibi ni lugha ya Kiaustronesia nchini Kamboja, Vietnam na Uthai inayozungumzwa na Wacham. Mwaka wa 2008 idadi ya wasemaji wa Kicham-Magharibi nchini Kamboja imehesabiwa kuwa watu 204,000. Pia kuna wasemaji 25,000 nchini Vietnam (2007) na 4000 nchini Uthai. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kicham-Magharibi iko katika kundi la Kichamiki.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kicham-Magharibi kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kicham-Magharibi Ilihifadhiwa 11 Agosti 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kicham-Magharibi katika Glottolog
- lugha ya Kicham-Magharibi kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kicham-Magharibi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |