Eufroni wa Tours
Mandhari
Eufroni wa Tours (alifariki 573) alikuwa askofu wa mji huo, leo nchini Ufaransa, kuanzia mwaka 556[1].
Alianzisha parokia nyingi, alikarabati makanisa mengi, alieneza kwa bidii heshima kwa msalaba wa Yesu na kushiriki mitaguso mbalimbali[2].
Alisifiwa mara kadhaa na mwandamizi wake, Gregori wa Tours, kwa upendo aliokuwanao.
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 4 Agosti[3].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-09-11. Iliwekwa mnamo 2020-08-03.
- ↑ http://www.santiebeati.it/dettaglio/65430
- ↑ Martyrologium Romanum
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |