Nenda kwa yaliyomo

De Mthuda

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mthuthuzeli Gift Khoza, alijulikana kwa jina la kisanii De Mthuda, ni mtayarishaji wa rekodi na DJ wa Afrika Kusini. Anafahamika zaidi kwa nyimbo zake "Shesha Geza" na "John Wick". [1]

Maisha yake ya kazi ya awali

[hariri | hariri chanzo]

De Mthuda alizaliwa Vosloorus, Johannesburg . Alianza kutayarisha muziki mwaka wa 2010 akiwa bado katika shule ya Sekondari na hatimaye aliacha shule akiwa darasa la 11 ili kuendeleza taaluma yake ya muziki. [2]

Mnamo Mei 2019, alitoa wimbo "Shesha Geza". Wimbo huu uliidhinishwa kuwa dhahabu na RiSA [3] na ukateuliwa kuwa Rekodi ya mwaka katika Tuzo za 26 za Muziki za Afrika Kusini . [4]

  1. "7 Amapiano stars that rose to the beat in 2021". news24.com. Iliwekwa mnamo 10 Januari 2022.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Meet De Mthuda, the landlord of amapiano". Mail & Guardian. Iliwekwa mnamo 10 Januari 2022.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "Shesha Geza Reaches Gold Status – What Does This Mean For Amapiano?". zkhiphani.co.za. Iliwekwa mnamo 0 anuary 2022. {{cite web}}: Check date values in: |accessdate= (help)
  4. "SAMA26 nominations unearth fresh new gems". dstv.com. Iliwekwa mnamo 10 Januari 2022.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu De Mthuda kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.