Nenda kwa yaliyomo

5 Novemba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Okt - Novemba - Des
1 2 3 4 5 6 7
8 9 10 11 12 13 14
15 16 17 18 19 20 21
22 23 24 25 26 27 28
29 30
Kalenda ya Gregori

Tarehe 5 Novemba ni siku ya 309 ya mwaka (ya 310 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 56.

Waliozaliwa

[hariri | hariri chanzo]

Waliofariki

[hariri | hariri chanzo]

Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Donini wa Kaisarea, Theotimo, Filotheo na wenzao, Marko wa Troia, Fibisi wa Trier, Gwetnoko, Bertila wa Chelles, Jeradi wa Beziers, Dominiko Mau, Gwido Maria Conforti n.k.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu 5 Novemba kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.