Uislamu nchini Tunisia
Mandhari
Uislamu kwa nchi |
Uislamu ni dini rasmi ya dola nchini Tunisia. Imekadiriwa ya kwamba sehemu kubwa ya Watunisia hujisebia kuwa ni Waislamu, japokuwa hapajawahi kuwa na sensa ya jambo hilo. Waumini wengi nchini ni wale wa dhehebu la Sunni wanaofuata mafundisho ya imamu Maliki, lakini idadi ndogo kabisa ni Ibadhi.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Roy, Olivier (1994). The Failure of Political Islam. Harvard University Press. uk. 126. Iliwekwa mnamo 2 Aprili 2015.
{{cite book}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)