Kongo
Mandhari
Unganisha! Imependekezwa makala hii iunganishwe na Congo. Ili kupata sababu angalia ukurasa wa majadiliano. Chagua moja kati ya makala ili ibaki (kwa kawaida ile yenye jina sahihi zaidi), ingiza habari kutoka nyingine, ondoa kasoro, hifadhi. Kisha futa makala nyingine. |
Kongo ni jina la kutaja vitu mbalimbali:
- Mto wa Kongo ambao ni kati ya mito mikubwa zaidi ya Afrika na ya dunia; pia eneo la beseni yake
- Nchi mbili katika Afrika ya kati:
- Jamhuri ya Kongo (mji mkuu Brazzaville, kabla ya uhuru "Kongo ya Kifaransa")
- Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (mji mkuu Kinshasa, kabla ya uhuru "Kongo ya Kibelgiji")
- Ufalme wa Kongo uliokuwa dola kubwa katika Angola ya Kaskazini na Kongo ya Magharibi wakati wa karne 14-17 BK.
- Kongo > Bakongo, jina la kabila ya Kibantu yenye watu milioni 5 katika Kongo, Angola na Gabun.
- Kongo > Kikongo, lugha ya Bakongo
- Mlima wa Kongo katika nchi ya Japani.
- "Kongo" imekuwa jina la meli za kijeshi huko Japani kutokana na mlima huu.