Nenda kwa yaliyomo

Zama za Mwangaza

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 18:45, 30 Septemba 2009 na TXiKiBoT (majadiliano | michango) (roboti Nyongeza: simple:Age of Enlightenment)

Zama cha Mwangaza lilikuwa vuguvugu la kitamaduni katika karne ya 18 huko Barani Ulaya. Ilikuwa na kituo chake huko nchini Ufaransa na kilikuwa kikiongozwa na wanafalsafa wawili ambao ni Voltaire na Denis Diderot. Diderot alieneza azimio hili la mwangza kwa kutumia vitabu vikubwa vya Encyclopédie, kitabu kikubwa cha kwanza cha kumbukumbu.

Azimio muhimu zaidi la mwangaza ilikuwa ni imani ya kuamini watu kwa sababu. Watu wote wana uwezo wa kujifikira wenyewe. Kwa hiyo, mtu hapaswi kuamini mwenyewe vitu vya nguvu na madai mengine ya kimamlaka. Watu hawatakiwi hata kuamini hicho ambacho kinafundishwa na kanisa wala kile anachofundisha mchungaji. Azimio lingine ambalo muhimu ni kwamba jamii imeendelea vyema kwamba wanachama wake wote, wanavyeo sawa tu hamna ubaguzi, wanashirikiana sawa tu katika usanifu.

Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Zama za Mwangaza kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Kigezo:Link FA