Ronaldinho
Mchezaji mpira wa Brazil
Ronaldo de Assís Moreira, (anafahamika zaidi kama Ronaldinho Gaucho; alizaliwa mjini Porto Alegre tarehe 21 Machi 1980) ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka nchini Brazil. Mnamo Januari ya mwaka wa 2007, amekuwa raia kamili wa Hispania.
Viungo vya nje
haririWikimedia Commons ina media kuhusu:
- Ronaldinho Gaúcho Official Website Archived 6 Machi 2010 at the Wayback Machine. (Kihispania) (Kireno) (Kiingereza) (Kikatala)
- Ronaldinho profile Archived 3 Juni 2010 at the Wayback Machine. at FC Barcelona website
- Ronaldinho profile Archived 21 Machi 2007 at the Wayback Machine. at FIFA website
- Ronaldinho career stats kwenye Soccerbase
- Interactive Hypervideo of Ronaldinho in action Archived 2 Desemba 2007 at the Wayback Machine.
- Ronaldinho Archived 26 Juni 2017 at the Wayback Machine.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ronaldinho kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |