kalenda
Mandhari
Kiswahili
[hariri]Nomino
[hariri]kalenda (wingi makalenda)
- siku zilizopangwa katika mwezi au mwaka
- chombo au kifaa kinachoonyesha mpangilio wa siku, wiki, miezi, na miaka kwa utaratibu maalumu.
- Kalenda hutumika kufuatilia tarehe na kupanga matukio au shughuli mbalimbali kulingana na tarehe na muda.