Nenda kwa yaliyomo

hema

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili

[hariri]
hema (pavilion)

Nomino

[hariri]

hema (wingi mahema)

  1. kifaa maalum cha kufunika na kuleta kivuli

Tafsiri

[hariri]

Kitenzi

[hariri]

hema (kitenzijina kuhema)

  1. vuta pumzi

Tafsiri

[hariri]