Nenda kwa yaliyomo

Yohane wa Beverley

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mt. Yohane katika kioo cha rangi.

Yohane wa Beverley (Harpham, karne ya 7Beverley, 7 Mei 721) alikuwa mmonaki Mbenedikto, halafu askofu wa Hexham, na hatimaye askofu mkuu wa York, Uingereza (705-717/718) hadi alipong'atuka arudi kama abati katika monasteri aliyoianzisha.

Sifa zake zimeandikwa na Beda, aliyepewa naye ushemasi na upadri, akithibitisha kwamba daima aliunganisha maisha ya sala na juhudi za kichungaji.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waanglikana kama mtakatifu[1]. Sifa hiyo ilithibitishwa na Papa Benedikto IX mwaka 1037[2].

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 7 Mei[3].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. http://www.santiebeati.it/dettaglio/91290
  2. Farmer, David Hugh (2004). Oxford Dictionary of Saints (tol. la Fifth). Oxford, UK: Oxford University Press. ku. 278–279. ISBN 978-0-19-860949-0.
  3. Martyrologium Romanum

Maandishi

[hariri | hariri chanzo]

John Bale anatajwa vitabu vifuatavyo kuwa vya Yohane, ila havipo tena:

  • Pro Luca exponendo
  • Homiliae in Evangelia
  • Epistolae ad'Herebaldum, Audenam, et Bertinum
  • Epistolae ad Hyldant abbatissam.
  • Life by Folcard, based on Bede, in Acta Sanctorum. Bolland.
  • Pamela Hopkins, St John of Beverley Hallgarth Publishing, Beverley 1999 095366600X
  • James Raine, Fasti eboracenses (1863).
  • G. J. Boekenoogen (ed.), Historie van Jan van Beverley (Nederlandsche Volksboeken VI), Leiden: Brill 1903.
  • Alan R. Deighton, "The Sins of Saint John of Beverley: The Case of the Dutch Volksboek Jan van Beverley", Leuvense Bijdragen 82 (1993) 227–246.
  • Susan E. Wilson, The Life and After-Life of St John of Beverley: The Evolution of the Cult of an Anglo-Saxon Saint, Aldershot: Ashgate 2006.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.