Waacholi
Mandhari
Waacholi (pia Waacoli) ni kabila la Kijaluo la Sudan Kusini na hasa Uganda Kaskazini (Acholiland, iliyogawanyika katika wilaya ya Agago, wilaya ya Amuru, wilaya ya Gulu, wilaya ya Kitgum, wilaya ya Lamwo, wilaya ya Nwoya,wilaya ya Omoro na wilaya ya Pader).
Kama Wajaluo wote ni kabila la Waniloti ambalo lilisafiri kutoka Afrika ya Kaskazini kufuata mto Nile kwenda Kusini.
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Atkinson, Ronald Raymond (1994) The roots of ethnicity: the origins of the Acholi of Uganda before 1800. Kampala: Fountain Publishers. ISBN 9970-02-156-7.
- Dwyer, John Orr (1972) 'The Acholi of Uganda: adjustment to imperialism'. (unpublished thesis) Ann Arbor, Michigan: University Microfilms International .
- Girling, F.K. (1960) The Acholi of Uganda (Colonial Office / Colonial research studies vol. 30). London: Her majesty's stationery office.
- Latigo, James, "The Acholi Traditional Conflict Resolution in Light of Current Circumstances:" National Conference on Reconciliation, Hotel Africana, Kampala, Law Reform Journal (Uganda Law Reform Commission), 4 September 2006)
- Webster, J. (1970) 'State formation and fragmentation in Agago, Eastern Acholi', Provisional council for the social sciences in East Africa; 1st annual conference, vol 3., p. 168-197.
Marejeo mengine
[hariri | hariri chanzo]- Bruder, Edith. The Black Jews of Africa. History, Religion, Identity (Oxford University Press, New York 2008)
- Barber, J., Imperial Frontiers, (Nairobi: East African Publishing House, 1968)
- Caritas Gulu Archdiocese, Traditional Ways of Coping in Acholi, Report written by Thomas Harlacher, Francis Xavier Okot, Caroline Aloyo Obonyo, Mychelle Balthaard and Ronald Atkinson, 2006 (copies may be obtained from caritasgulu@iwayafrica.com) Archived 12 Julai 2020 at the Wayback Machine.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Rupiny Archived 14 Januari 2010 at the Wayback Machine. — A newspaper in Luo (Acholi and Lango)
- Sample of written Acholi from the Language Encyclopedia
- Documentary on a child soldier that escaped the LRA Archived 12 Mei 2019 at the Wayback Machine.
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Waacholi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |