Nenda kwa yaliyomo

Stefano Baldini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Stefano Baldini

Stefano Baldini (amezaliwa Castelnovo di Sotto, Emilia-Romagna, Italia, 25 Mei 1971) ni mwanariadha mstaafu wa Italia aliyebobea katika mbio za marathon. Alikuwa bingwa wa Olimpiki huko Athens mwaka 2004 na mara mbili bingwa wa Ulaya (1998 na 2006).[1]

  1. "Athletics Men's Marathon Results". Beijing2008.cn. The Beijing Organizing Committee for the Games of the XXIX Olympiad. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 29 Agosti 2008.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Stefano Baldini kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.