Richard Roberts
Mandhari
Richard John Roberts (amezaliwa 6 Septemba, 1943) ni mwanakemia kutoka nchi ya Uingereza. Hasa alichunguza DNA. Mwaka wa 1993, pamoja na Phillip Sharp, alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.
Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Richard Roberts kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |