Nenda kwa yaliyomo

Mkoa wa Şanlıurfa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mkoa wa Şanlıurfa
Maeneo ya Mkoa wa Şanlıurfa nchini Uturuki
Maelezo
Kanda: Kanda ya Kusinimashariki ya Anatolia
Eneo: 18,584 (km²)
Idadi ya Wakazi 1,700,352 TUIK 2007 (est)
Kodi ya Leseni: 63
Kodi ya eneo: 0414
Tovuti ya Gavana http://www.şanlıurfa.gov.tr
Utabiri wa hali ya hewa turkeyforecast.com/weather/şanlıurfa


Şanlıurfa (Kisyria: Urhoy, [Kituruki]: urfa, [Kiarabu]: ar-Rûha) ni jina la mkoa uliopo kusini-mashariki ya Anatolia huko nchini Uturuki. Jiji la Şanlıurfa ndiyo mji mkuu wa mkoa ambalo limezaliwa kwa kutokana na ji la mkoa wenyewe. Idadi ya wakazi ni 1,700,352 (makadirio ya 2006).

Wilaya za mkoani hapa

[hariri | hariri chanzo]

Mkoa wa Şanlıurfa umegawanyika katika wilaya 11 (mji mkuu umekoozeshwa):

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Şanlıurfa kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.