Nenda kwa yaliyomo

Mary van Kleeck

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mary van Kleeck

Mary Abby van Kleeck (26 Juni 188318 Juni 1972) alikuwa mwanasayansi wa kijamii wa Marekani wa karne ya 20. Alikuwa mtu mashuhuri katika harakati za wafanyakazi nchini Marekani na pia alikuwa mtetezi wa usimamizi wa kisayansi na uchumi uliopangwa[1].

  1. "Mary van Kleeck papers". Smith College Libraries. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Juni 1, 2021. Iliwekwa mnamo Mei 12, 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mary van Kleeck kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.