Kristianstad
Mandhari
Kristianstad ni manispaa na mji nchini Uswidi. Kuna wakazi 33,083 (mwaka 2005). Mji ulianzishwa 1614.
Jiografia
[hariri | hariri chanzo]Eneo lake ni 17.67 km².
-
Jumba la Utamaduni
-
Hoteli ya mji
-
Kanisa la Heliga Trefaldighet
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- www.kristianstad.se Ilihifadhiwa 17 Juni 2010 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu maeneo ya Uswidi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Kristianstad kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |