Nenda kwa yaliyomo

Kiwaata

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiwaata ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Kenya inayozungumzwa na Wawaata. Mwaka wa 2009 idadi ya wasemaji wa Kiwaata imehesabiwa kuwa watu 12,600. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiwaata iko katika kundi la Kikushi.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiwaata kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.