Nenda kwa yaliyomo

Kiladino

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiladino ni lugha ndogo ya jamii za Lugha za Kirumi katika jamii kubwa ya Lugha za Kihindi-Kiulaya. Inafanana na Kifriuli na Kiromansch.

Wasemaji ni kama 31,000 tu upande wa kaskazini wa Italia.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiladino kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.