Kibhojpuri
Mandhari
Kibhojpuri ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Uhindi, Morisi na Nepal inayozungumzwa na Wabhojpuri. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kibhojpuri imehesabiwa kuwa watu 37,800,000 nchini Uhindi na 336,000 nchini Morisi. Pia kuna wasemaji 1,580,000 nchini Nepal (2011). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kibhojpuri iko katika kundi la Kiaryan.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kibhojpuri kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kibhojpuri Ilihifadhiwa 22 Septemba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kibhojpuri katika Glottolog
- lugha ya Kibhojpuri kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kibhojpuri kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |