John Francis Doerfler
Mandhari
John Francis Doerfler (alizaliwa 2 Novemba 1964) ni kiongozi wa Kanisa Katoliki wa Marekani ambaye amekuwa akihudumu kama askofu wa Jimbo la Marquette, Michigan, tangu mwaka 2014.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Green Bay, Wis., priest named bishop of Marquette, Mich". National Catholic Reporter. Desemba 17, 2013. Iliwekwa mnamo Februari 12, 2014.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |