Joan Hambidge
Joan Hambidge | |
---|---|
| |
Jina la kuzaliwa | Joan Helene Hambidge |
Alizaliwa | Aliwal North, Afrika Kusini |
Nchi | Afrika Kusini |
Kazi yake | Mwandishi na mhariri |
Joan Helene Hambidge (alizaliwa Aliwal North, Afrika Kusini, 11 Septemba 1956) ni mshairi mahiri wa Kiafrikana na msomi wa nadharia ya fasihi. Yeye anajulikana kama mkosoaji na ni maarufu kwa mtindo wake wa "out-of-the-closet". Michango yake ya kinadharia inahusu hasa Roland Barthes, deconstruction, postmodernism, psychoanalysis and metaphysics.
Wasifu
[hariri | hariri chanzo]Hambidge alisoma vyuo vikuu vya Stellenbosch na Pretoria. Alitunukiwa tuzo ya heshima ya udaktari André P. Brink katika Chuo kikuu cha Rhodes mnamo mwaka 1985. Tuzo ya pili ya udaktari aliipata chuo kikuu cha University of Cape Town, 2001.[1]
Ingawa Hambidge anasema aligundua kipaji chake cha uandishi alipokua mdogo, na alipokuwa mkufunzi chuo kikuu cha University of the North, Limpopo Province, kipaji chake kilikua zaidi.
Alishinda tuzo ya Eugène Marais Prize for literature kutokana na kitabu chake cha pili cha fasihi. Bitterlemoene ("Bitter Oranges"), in 1986.[1] Tuzo iyo ilikua ni moja ya tuzo inayofwatiliwa zaidi Afrika. Pia alishinda tuzo yaLitera Prizena pia tuzo ya Poetry Institute of Africa Prize kutokana na fasihi zake.[1]
Kwa sasa ni Mkufunzi katika shule ya lugha na fasihi chuo kikuu cha University of Cape Town.
Kazi zake kuu
[hariri | hariri chanzo]Ingawa anaandika Kiafrikana, Hambidge ametafsiri mashairi yake kadhaa kwa Kiingereza. Tafsiri zingine zimefanywa na Jo Nel, mshairi mwenzake na rafiki wa karibu Johann de Lange, na Charl Cilliers (mwandishi) | Charl JF Cilliers. Kazi yake imechapishwa Uholanzi na Uingereza na vile vile nchini Merika. Baada ya kuchapisha vitabu 26 vya mashairi hadi 2016 yeye ndiye mshairi mahiri zaidi wa Kiafrikana. Hambidge anavutiwa na fasihi yani literary theory hasa psychoanalysis na metafiction) Anafananisha na hadithi zake za uongo. Anafanya kazi mbalimbali za nadharia na vitendo, Judaskus[2] ("Judas kiss", 1998) and "Kladboek" (2008). She has also published two theoretical works: Postmodernisme (1995),[1] about Roland Barthes, deconstruction and post-modernism, and Psigoanalise en lees ("Psychoanalysis and reading", 1991), on Jacques Lacan and reading.
Vitabu vya Fasihi
[hariri | hariri chanzo]- Hartskrif (1985) ("Heart Script")
- Bitterlemoene (1986) ("Bitter oranges")
- Die anatomie van melancholie (1987) ("The anatomy of melancholy")
- Palinodes (1987)
- Geslote baan (1988) ("Closed circuit")
- Donker labirint (1989) ("Dark labyrinth")
- Gesteelde appels (1989) ("Stolen apples")
- Kriptonemie (1989) ("Cryptonomy")
- Verdraaide raaisels (1990) ("Twisted riddles")
- Die somber muse (1990) ("The sombre muse")
- Tachycardia (1990)
- Die verlore simbool (1991) ("The lost symbol")
- Interne verhuising (1995) ("Internal house moving")
- Ewebeeld (1997) ("Mirror image")
- Lykdigte (2000) ("Memorial poems")
- Ruggespraak (2002) ("Talking back")
- Die buigsaamheid van verdriet (2005) ("The flexibility of sorrow")
- En skielik is dit aand (2006) ("And suddenly it's evening")
- Dad (2006)
- Koesnaatjies vir die proe (2008)
- Vuurwiel (2009) ("Wheel of fire")
- Visums by verstek (2011) ("Visas by default")
- Lot se vrou (2012) ("Lot's wife")
- Meditasies (2013) ("Meditations")
- Matriks (2016) ("Matrix")
- Indeks (2016) ("Index")
Riwaya
[hariri | hariri chanzo]- Swart Koring (1996) ("Black Wheat") (Parody on the pulp romance novel, with a lesbian twist)
- Die Swart Sluier (1998) ("The black veil") (Parody on pulp detective novels and ghost stories)
- Judaskus (1998) ("Judas Kiss")
- Sewe Sonjas en wat hulle gedoen het (2001) ("Seven Sonyas and what they did") (An electronic novel published by Contentlot.com))
- Skoppensboer (2001) ("Jack of Spades": this refers to a poem by Eugene Marais, that calls the grim reaper by this name)
- Palindroom (2008) ("Palindrome")
- Kladboek (2008) ("Notebook")
Viungo nya nje
[hariri | hariri chanzo]- Joan Hambidge (1956 – ) Sanlam ATKV LitNet Afrikaanse Album
- Louise Viljoen: Onderhoud met Joan Hambidge oor En skielik is dit aand
- Desperately seeking Susan Sontag: ’n essay-verhaal
- Globalisering en die Afrikaanse letterkunde
- Hibriditeit en die internet
- [http://www.oulitnet.co.za/seminaar/hambidge_cloete.asp Die hipnose van die digkuns: TT Cloete-gedenklesi
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ 1.0 1.1 1.2 1.3 Scholtz, Hettie (29 Mei 2008). "Joan Hambidge (1956)". Litnet. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-05-26. Iliwekwa mnamo 2021-05-06.
{{cite journal}}
: Unknown parameter|dead-url=
ignored (|url-status=
suggested) (help)CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Chris van der Merwe (2014). Die Houtbeen van St Sergius: Opstelle oor Afrikaanse romans (kwa Kiafrikana). African Sun Media. uk. 55. ISBN 9781920689179.
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Joan Hambidge kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |