James Kirkwood
Mandhari
James Kirkwood | |
Amezaliwa | James Kirkwood, Jr. 22 Agosti 1924 Los Angeles, Marekani |
---|---|
Amekufa | 21 Aprili 1989 New York, Marekani |
Nchi | Marekani |
James Kirkwood (22 Agosti 1924 – 21 Aprili 1989) alikuwa mchezaji na mwandishi wa michezo ya kuigiza kutoka nchi ya Marekani. Anajulikana hasa kwa kuandika, pamoja na Nicholas Dante, igizo lenye muziki liitwalo kwa Kiingereza A Chorus Line lililotolewa 1975. Mwaka wa 1976 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Pulitzer ya Tamthiliya kwa ajili ya igizo hilo.
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu James Kirkwood kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |