Nenda kwa yaliyomo

Ibilola Amao

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ibilola Amao

Amezaliwa
Nigeria
Nchi Nigeria
Kazi yake Mhandisi

Ibiolola Amao ni mhandisi , mshauri mkuu wa Huduma za Lonadek kati ya Uingereza na Nigeria. Alikuwa ni mshauri katika mipango mbalimbali mnamo mwaka 2020 nchini Nigeria.[1][2] Alipata tuzo mbalimbali kama vile, mfanyabiashara bora na mchapakazi wakike (IWEC) mnamo mwaka 2016, Energy Institute Champion mnamo mwaka 2016, C3E international woman of distinction Award, Access Bank “W” 100, Forbes Africa rising star Award mnamo mwaka 2019.[3][4][5] Alikuwa mwanachama wa vital voices (vv) grow fellow, mwanachama wa vv100 wa kimataifa wa WEConnect. Ibiolola pia alikuwa mwanzilishi wa mradi wa mierezi pamoja kituo cha ujasiriamali.[4]

  1. "ibilola amao nominated for the WomenTech Global Awards 2020". WomenTech Network (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2021-09-19.
  2. "35 Women Moving Africa Forward". NBC4 Washington (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2021-09-19.
  3. "Awards 2020". C3E International (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2021-09-19.
  4. 4.0 4.1 "Home". Global Ambassadors (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2021-09-19.{{cite web}}: CS1 maint: url-status (link)
  5. "WIEN Founders – Women in Energy Network" (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2021-09-19.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ibilola Amao kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.