Hyundai Nexo
Mandhari
Kampuni: | Hyundai |
Aina: | Nexo |
| |
Inchi za Kuzalisha | Korea Kusini |
Abiria: | 5 |
Injini: | Haidrojeni, stima |
Upana: | 1.86m |
Urefu: | 4.67m |
Urefu wa Juu: | 1.63m |
Uzito: | 1810kg |
Hyundai Nexo ni gari kutoka Korea Kusini ina mota ya stima na inatumia haidrojeni kutengeneza stima.