Nenda kwa yaliyomo

Huawei P50

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Huawei P50 Pro
Huawei P50 Pro

Huawei P50 na P50 Pro ni simu mahiri za hali ya juu za HarmonyOS zinazotengenezwa na Huawei. Ilizinduliwa tarehe 21 Julai 2021. Mnamo Machi 2023 Huawei alitoa mrithi wao simu za Huawei P60 Series nchini China, na Mei 2023 ilitoa toleo la Huawei P60 Pro[1].

  1. Richard, Joseph (2023-05-10). "Huawei P60 Pro unveiled As A Game Changer in Mobile Photography with a Catch". Gizchina.com (kwa American English). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2023-06-29. Iliwekwa mnamo 2023-06-29.
Makala hii kuhusu mambo ya teknolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hiyo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.