Hollywood Walk of Fame
Mandhari
Hollywood Walk of Fame ni njia ya miguu iliopo mjini Hollywood Boulevard na Vine Street huko Hollywood, Los Angeles, California, Marekani, ambayo hutumiwa kama sehemu ya maonyesho ya burudani. Imetiwa zaidi ya nyota yenye-pembe tano 2,000 ikiwa na majina sio ya binadamu mashuhuri peke yake bali hata yale ya wahusika wa katuni pia wamepewa nyota kwenye Hollywood kwa mchango wao katika tasnia ya burudani. The Walk of Fame ni inajipatia fedha na Hollywood Historic Trust. Nyota za kwanza zilitolewa mnamo mwezi wa Septemba katika mwaka wa 1958 na kuwekwa kwenye njia ya miguu kwenye kona ya kaskazini mwa Hollywood Blvd. na Highland Ave.
Picha
[hariri | hariri chanzo]-
One of four identical moons honouring the crew of Apollo 11 at the corner of Hollywood and Vine.
-
For a music achievement, the band itself will usually be named, instead of each member.
- Aina ya nyota
- Television, Filamu, Live Theater, Rekodi na Redio.
-
Bugs Bunny (2006) Star for Excellence in Motion Pictures.
-
The Simpsons (2000) Star for Excellence in Television.
-
Tom Petty & The Heartbreakers (1999) Star for Excellence in Recording.
-
Spike Jones (2007) Star for Excellence in Radio .
- Nyota za watu walifariki
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Wikimedia Commons ina media kuhusu:
- Hollywood Walk of Fame interactive tour guide for mobile phones Ilihifadhiwa 23 Juni 2012 kwenye Wayback Machine. - hwof.mobi
- Hollywood Walk of Fame interactive tour guide for PC Ilihifadhiwa 12 Februari 2010 kwenye Wayback Machine. - hwof.com
- Hollywood Walk of Fame at Seeing-Stars.com