Nenda kwa yaliyomo

Dikembe Mutombo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Dikembe Mutombo Mpolondo Mukamba Jean-Jacques Wamutombo[1] (25 Juni 1966 - 30 Septemba 2024) alikuwa mchezaji wa mpira wa kikapu Mmarekani mwenye asili ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Mutombo alicheza misimu 18 katika chama cha mpira wa kikapu cha kitaifa (NBA). Nje ya mpira wa kikapu, amejulikana sana kwa kazi yake ya kibinadamu. Alianza kazi yake na Georgetown Hoyas ya mpira wa kikapu, kwa kawaida kama mmoja wa wachezaji anayetetea wakati wote. Alishinda tuzo ya mchezaji na mkabaji kwa mwaka mara nne, pia aliweza kufuzu mara nane katika timu ya wachezaji mastaa. [2].[3]

Mechi ya mwisho kucheza ya chama cha kitaifa cha mpira wa kikapu ya mwaka 2009, Mutombo alitangaza kustaafu. Tarehe 11 Septemba 2015 aliingizwa kwenye ukumbi wa umaarufu wa mpira wa kikapu wa Naismith. [4]

  1. Dikembe Mutombo Ilihifadhiwa 5 Septemba 2012 kwenye Wayback Machine.. basketball-reference.com
  2. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-06-12. Iliwekwa mnamo 2019-12-07.
  3. http://www.allaboutbasketball.us/nba/nba-triple-double-records.html
  4. http://www.nba.com/2015/news/04/06/naismith-hall-of-fame-release/
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Dikembe Mutombo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.