Nenda kwa yaliyomo

Andrea Belotti

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Andrea Belotti
binadamu
Jinsiamume Hariri
Nchi ya uraiaItalia Hariri
Nchi anayoitumikiaItalia Hariri
Jina katika lugha mamaAndrea Belotti Hariri
Jina halisiAndrea Hariri
Jina la familiaBelotti Hariri
Tarehe ya kuzaliwa20 Desemba 1993 Hariri
Mahali alipozaliwaCalcinate Hariri
Lugha zinazozungumzwa, zilizoandikwa au zilizotiwa sahihiKiitalia Hariri
Kaziassociation football player Hariri
Nafasi anayocheza kwenye timuForward (association football) Hariri
Muda wa kazi2020 Hariri
Mchezompira wa miguu Hariri
Namba ya Mchezaji9 Hariri
AmeshirikiUEFA Euro 2020 Hariri
Tuzo iliyopokelewaKnight of the Order of Merit of the Italian Republic Hariri

Andrea Belotti (amezaliwa 20 Desemba 1993) ni mchezaji wa soka wa Italia ambaye anacheza kama mshambuliaji kwa Torino, na pia yeye ni nahodha wa timu ya taifa ya Italia.

Belotti alianza kazi yake ya uchezaji na klabu iitwayo Albino Leffe. Baadaye alisainiwa na Palermo, ambapo alishinda cheo cha Serie B katika msimu wa 2013-14, kabla ya kusainiwa na Torino mwaka 2015.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Andrea Belotti kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.