Andisiwe Mgcoyi
Mandhari
Andisiwe Mgcoyi
Jinsia | mwanamke |
---|---|
Nchi ya uraia | Afrika Kusini |
Tarehe ya kuzaliwa | 16 Juni 1988 |
Mahali alipozaliwa | Afrika Kusini |
Lugha zinazozungumzwa, zilizoandikwa au zilizotiwa sahihi | Kiingereza |
Kazi | association football player |
Nafasi anayocheza kwenye timu | Forward (association football) |
Mwanachama wa timu ya michezo | FK Union Nové Zámky, Mamelodi Sundowns F.C., South Africa women's national association football team |
Mchezo | mpira wa miguu |
Ameshiriki | 2012 Summer Olympics |
Andisiwe Mgcoyi (alizaliwa 16 Juni 1988) ni mchezaji wa soka wa nchini Afrika Kusini na anacheza kama mshambuliaji wa klabu ya wanawake ya Mitrovica.[1] Aliwakilisha timu ya taifa ya wanawake wa Afrika Kusini katika michezo ya Olimpiki huko London mnamo mwaka 2012.[2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "SAFA.net - South African Football Association". www.safa.net (kwa American English). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-12-30. Iliwekwa mnamo 2018-06-03.
{{cite web}}
: More than one of|accessdate=
na|access-date=
specified (help) - ↑ "thefinalball.com :: Teams". www.thefinalball.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2018-06-04.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Andisiwe Mgcoyi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |