Ana (mama wa Samweli)
Mandhari
Ana (kwa Kiebrania חַנָּה Ḥannāh[1]) alikuwa mke wa Elkana na hatimaye mama wa Samweli na watoto wengine katika karne ya 11 KK kadiri inavyosimuliwa na Vitabu vya Samueli (1Sam 1:2-2:21) katika Biblia.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Wells, John C. (1990). Longman pronunciation dictionary. Harlow, England: Longman. uk. 324. ISBN 0-582-05383-8. entry "Hannah"
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mtu wa Biblia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ana (mama wa Samweli) kama habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |