Nenda kwa yaliyomo

Amasra

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Machweo ya jua ya mjini Amasra
Mji wa Amasra

Amasra (zamani iliitwa Amastris, Αμαστρις kwa Kigiriki) ni mji wa bandari ndogo ya Bahari Nyeusi iliopo katika Mkoa wa Bartın huko nchni Uturuki. Mji huu unaheshimiwa leo hii kwa sababu ya fukwe zake za bahari na hali ya uasili wa mambo yake, ambacho imefanyia wakazi wa hapa kujifanyia shughuli zao na watalii ili kujipatia ridhiki.

Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Amasra kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.