Adana
Mandhari
Adana | |
Mahali pa mji wa Adana katika Uturuki |
|
Majiranukta: 37°0′0″N 35°19.28′0″E / 37.00000°N 35.32133°E | |
Nchi | Uturuki |
---|---|
Kanda | Mediterranea |
Mkoa | Adana |
Idadi ya wakazi (2007)[1] | |
- Wakazi kwa ujumla | 2,530,257, ambao wengine 1,566,027 wanaishi mijini |
Adana (kwa Kigiriki: Άδανα) ni mji wa Uturuki. Huu ndio mji mkuu wa Mkoa wa Adana.
Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2000, mji una wakazi wapatao 1,130,710 waishio huko,[2] na kuufanya kuwa mmoja kati ya miji mitano mikubwa katika nchi ya Uturuki (baada ya Istanbul, Ankara, İzmir na Bursa). Mwaka wa 2006 mji wa Adana umekadiriwa kufikia iadadi ya wakazi wapatao 1,271,894.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Türkiye istatistik kurumu Address-based population survey 2007. Retrieved on 2008-03-21.
- ↑ "GeoHive - Turkey - Administrative units". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-10-13. Iliwekwa mnamo 2008-10-04.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Adana Trade and Industry Chamber Ilihifadhiwa 27 Agosti 2008 kwenye Wayback Machine.
- Many pictures of this city with sub-gallery for the fine Ulu Camii
- History of Adana
Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Adana kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |