Nenda kwa yaliyomo

Nane

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 17:48, 11 Februari 2017 na Baba Tabita (majadiliano | michango)
(tofauti) ← Pitio lililotangulia | Toleo la sasa (tofauti) | Pitio linalofuata → (tofauti)
Mabadiliko katika kuandika nane.

Nane ni namba ambayo inafuata saba na kutangulia tisa. Kwa kawaida inaandikwa 8 lakini VIII kwa namba za Kiroma na ۸ kwa zile za Kiarabu.

Vigawo vyake vya namba tasa ni: 2 x 2 x 2 (au 23).

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya hisabati bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nane kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.