Nenda kwa yaliyomo

Örebro

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 14:39, 11 Machi 2013 na Legobot (majadiliano | michango) (Bot: Migrating 55 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q25732 (translate me))
(tofauti) ← Pitio lililotangulia | Toleo la sasa (tofauti) | Pitio linalofuata → (tofauti)
Boma la Örebro

Örebro ni mji kubwa nchini Uswidi. Ni mji mkubwa wa saba katika nchi wa Uswidi. Kuna wakazi 130,000 (mwaka 2005). Iko kando ya Mto Svartån (mto meusi). Kuna pia Chuo Kikuu cha Örebro.

Jiografia

[hariri | hariri chanzo]

Eneo lake ni 42.96 km².

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu maeneo ya Uswidi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Örebro kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.