Nenda kwa yaliyomo

Papa Pius VIII

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 13:32, 11 Desemba 2024 na CommonsDelinker (majadiliano | michango) (Removing Clemente_Alberi_–_Ritratto_di_papa_Pio_VIII_(c._1830).jpg, it has been deleted from Commons by Krd because: per [[:c:Commons:Deletion requests/Files in Category)
(tofauti) ← Pitio lililotangulia | Toleo la sasa (tofauti) | Pitio linalofuata → (tofauti)

Papa Pius VIII (20 Novemba 176130 Novemba 1830) alikuwa Papa kuanzia tarehe 31 Machi/5 Aprili 1829 hadi kifo chake. Alitokea nchi ya Italia[1]. Alitokea Cingoli, Italia[2].

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Francesco Saverio Castiglioni.

Alimfuata Papa Leo XII na kuvishwa taji la Kipapa tarehe 5 Aprili 1829. Akafuatwa na Papa Gregori XVI.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Pius VIII kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.