Alexandre Letellier
Mandhari
Alexandre Letellier (alizaliwa 11 Desemba 1990)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Ufaransa, ambaye anacheza kama golikipa katika klabu ya Paris Saint-Germain F.C. inayoshiriki Ligue 1 ya Ufaransa.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Alexandre Letellier". EN.PSG.FR (kwa Kiingereza). 1990-12-11. Iliwekwa mnamo 2024-06-19.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Alexandre Letellier kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |