Nenda kwa yaliyomo

Kitovu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 16:21, 27 Julai 2022 na Daniuu (majadiliano | michango) (Masahihisho aliyefanya 2A00:F41:4834:5431:E55B:C558:DE7C:5404 (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Riccardo Riccioni)
(tofauti) ← Pitio lililotangulia | Toleo la sasa (tofauti) | Pitio linalofuata → (tofauti)
Kitovu cha binadamu.

Kitovu (kwa Kilatini: umbilicus) ni kovu lililopo katikati ya fumbatio baada ya uzi wa mshipa unaounganisha mimba na mama tumboni kukatwa na kukauka.

Kutokana na maana hiyo asili, neno kitovu linatumika kwa jambo lolote ambalo ni chimbuko la kitu.

Makala hii kuhusu mambo ya anatomia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitovu kama matumizi yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.